MAJESHI ya NCHI za ULAYA YATUA GREENLAND - TRUMP APINGWA HATUA ya KUICHUKUA GREENLAND 📍GREENLAND
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 1059
Описание:
MAJESHI ya NCHI za ULAYA YATUA GREENLAND - TRUMP APINGWA HATUA ya KUICHUKUA GREENLAND 📍GREENLAND
Wanajeshi kutoka Ufaransa, Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya wameanza kuwasili Greenland ili kuimarisha usalama wa kisiwa hicho cha Aktiki, kufuatia mvutano unaoongezeka kati ya Marekani na washirika wake wa Ulaya. Hatua hiyo imekuja baada ya mazungumzo yaliyohusisha Denmark, Greenland na Marekani kubainisha kuwepo kwa “tofauti za kimsingi” kati ya utawala wa Rais Donald Trump na washirika wa Ulaya kuhusu mustakabali wa eneo hilo.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: