Viongozi waendelea kuibua wasiwasi kuhusu kiini cha kifo cha Jirongo.
Автор: Undugu TV
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 309
Описание:
Aliyekuwa mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo amezikwa leo hii eneo la Lumakanda, Kakamega. Maswali kuhusu kifo chake yamejitokeza, viongozi mbalimbali wakimsifia na pia wakitaka uchunguzi wa kina kufanyika.
Aidha, siasa za muungano wa jamii ya Mulembe zimesheheni, viongozi wa Mulembe walioko serikalini wakisutwa kwa kukosa kuangazia maslahi ya Mulembe .
Japo Walio serikalini wakisisitiza kwamba wataunganisha jamii hiyo na kuunga mkono serikali ya Rais William Ruto.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: