MEDICOUNTER: Tatizo la kuwa na mawe kwenye figo linatibikaje?
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-07-25
Просмотров: 16523
Описание:
Ugonjwa wa kuwa na mawe kwenye figo si mgeni miongoni mwa watu wengi na tayari familia kadhaa zimeshashuhudia miongoni mwao zikiwapata wagonjwa wa ugonjwa huu.
Je, unapogundulika kuwa na mawe kwenye figo, matibabu yake yakoje?
Ungana na Dafrosa Prosper kupata undani zaidi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: