Watu 50% wako hatarini ya kupata ugonjwa wa bawasiri au 'Hemorrhoids'
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-08-04
Просмотров: 5827
Описание: Ugonjwa wa bawasiri unaojulikana kwa lugha ya kitaalamu kama Hemorrhoids ni tatizo linalowaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto. inakadiriwa kuwa takriban 50% ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili kutokana na mitindo ya maisha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: