ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mhe Masoud, amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango unaotolewa na vijana wa kujenga Taifa

Автор: OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR

Загружено: 2023-01-02

Просмотров: 3766

Описание: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe Masoud Ali Mohammed, amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango unaotolewa na vijana wa kujenga Taifa katika ujenzi wa miradi ya Maendeleo hapa nchini. Akifunga mafunzo ya mkupuo wa 067 na 068 katika kambi ya JKU KAMÀ, amesèma ushiriki wa vijana hao katika kazi za kijamii na kitaifa, kumetokana na mafunzo ya uzalendo, ujasiriamali na stadi za maisha waliyopatiwa kwa kipindi cha miaka miliwi. Mhe Masoud amewataka vijana hao kuyatumia vyema mafunzo hayo katika maisha yao ndani ya jamii na kuhakikisha kuwa wanazingatia maadili ili jamii iweze kuishi katika hali ya amani. Katika risala ya wahitimu iliyosimwa na Abdillah Nassor Abdala, imeeleza kuwa wamepata mafanikio ya kujifunza kazi mbali mbali za uzalishaji, ujenzi na ufundi na kuziomba kampuni kutumia utaalamu walionao vijana hao. Nae Mkuu wa Jeshi la kujenga uchumi, Kanal makame Abdalla Daima, amesema jeshi hilo limekuwa na hazina kubwa ya kuwajengea uwezo vijana wa kuweza kujiajiri na kuajiri wengine.
Jumla ya vijana 400 wamekamilisha mafunzo yao yaliyoanza Januari 2022 hadi Disemba 31 2022.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mhe Masoud, amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango unaotolewa na vijana wa kujenga Taifa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Waziri Masoud afunga mafunzo ya vijana wa ujenzi wa Taifa intek 067 na 068 / 2022

Waziri Kaduara Aweka jiwe la msingi Kituo cha Mafuta Cha JKU Kilichopo Mtoni Zanzibar

The Wait Was Worth It! | My Testimony; John Kamau & Wambui Kagiri | Sifa Sunday Experience

Bwanashamba wa Kambi ya JKU Bambi matola akielezea juu ya ukulima wa zao la tungule.

FREEДOM. LIVE – Прямой эфир. Новости Украины и мира

🔴 Цього не покажуть по ТБ! Головні новини - ТЕЛЕКАНАЛ ПРЯМИЙ

JKT na JKU Yaendeleza Mashirikiano Hasa Katika Utoaji wa Mafunzo kwa Vijana wa Ujenzi wa Taifa.

PAREDI LA  UFUNGAJI WA KOZI YA LEVO 3 MKUPUO WA 6 KATIKA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI PANGATUPU

Uzinduzi na upandishwaji wa Bendera ya Kikosi cha KVZ uliofanyika Makao Makuu Mtoni

MKUU WA JKU AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA SKULI YA UFUNDI NA SEKONDARI JKU MTONI

ВОССТАНОВЛЕНИЕ НЕРВНОЙ СИСТЕМЫ! Музыка для глубокой души!Музыка, что лечит! Слушай и чувствуй

Vijana wa kujitolea wa JKU Intec 065 wakihitimu mafuzo ya Ujenzi wa Taifa katika Zoni ya Kusini

Mkuu wa JKU awapandisha vyeo wapiganaji wa Jeshi la Kujenga Uchumi katika ngazi mbalimbali

Mkuu wa JKU Awaongoza Maafisa, Wapiganaji, na Vijana wa Ujenzi wa Taifa katika Matembezi ya Miguu

WAZIRI MASOUD AFUNGA MAFUNZO YA UNDERFIRE  YA KIKUNDI  CHA QRF CHA KVZ

Почему Ленин отдал Арарат Турции? Ленин поставил не на тех…. Кремль, Ататюрк и гора раздора.

Vijana wa Mujibu wa Sheria Int  066 Wakiwa katika Ufungaji wa Mafunzo Yao Katika Kambi ya JKU Kama

Kanali Daima awavisha vyeo maafisa 100 kwa niaba ya Mh Rais, awataka kusimamia maadili ya kazi zao

Ngoma ya Kibati kutoka JKU yawakosha wana ZOI.

MAFUNZO YA JKU KULINDA AMANI YA NCHI  NA KUWASAIDIA KUJIENDLEZA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]