SUALA LA QURAANI
Автор: Haki Kwa Dalili
Загружено: 2025-11-30
Просмотров: 127
Описание:
https://drive.google.com/file/d/1bUHr...
Qurani ni Kitabu cha Allah na Aya zake ni maneno ya Allah, Allah ameisifu Qurani kuwa ni ulimi wa kiarabu ambao kwa makubaliano kuwa ni kiumbe, na Qurani imetokezeshwa, imebarikiwa, imeteremshwa, imehifadhiwa, imepembanuliwa, imewepesishwa, na Aya zake zimegawika ziko Mutashabihati na Muhkamati, pia Aya zake zimo ndani ya vifua viumbe vya waja, ndani ya Qurani kuna hekaya alizozisimulia Allah kutoka kwa viumbe kama vile Mitume yake, na Luqman, na Sisimizi, na Hud-hud, na mbingu, na ardhi, na Jibrilu, na Maryam, na Zakariayh, na Ibilisi, na Furauna....
Fuata link hapa chini upate risala fupi tuliyoiandika katika maudhui hii.
https://drive.google.com/file/d/1bUHr...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: