Dhambi Tano za Sodoma na Gomora Sababu ya Mungu Kuziangamiza Miji Hii
Автор: Hadithi za Biblia za Kiafrika
Загружено: 2025-07-10
Просмотров: 9682
Описание:
Hadithi ya Sodoma na Gomora haikuwa tu juu ya uasherati kulikuwa na dhambi tano kuu zilizowafanya wapate hukumu ya moto kutoka kwa Mungu. Katika video hii, tunachambua kila dhambi kwa kina: kiburi, tamaa, uasherati, ukosefu wa ukarimu, na jeuri. Jifunze jinsi hadithi hii ya Biblia inavyobeba ujumbe mzito kwa jamii ya leo.
#SodomaNaGomora #BibliaLive #UjumbeWaMungu #HadithiZaBiblia #MaishaYaKiungu #HukumuYaMungu #DhambiNaAdhabu
#SodomAndGomorrah #BibleTruth #GodsJudgment #SinAndDestruction #FaithVideo #ChristianMessage #BiblicalHistory
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: