🎯 AINA SITA (6) ZA TAJI KATIKA BIBLIA | Askofu Dr. Fredrick Simon
Автор: Bishop Dr. Fredrick Simon
Загружено: 2025-07-11
Просмотров: 771
Описание:
Je, unajua kuna taji sita (6) zilizotajwa katika Neno la Mungu ambazo waaminio watazipokea kwa uaminifu wao? Katika video hii, Askofu Dr. Fredrick Simon anafundisha kwa undani juu ya aina hizi za taji, maana yake kwa kila Mkristo, na jinsi ya kuzishinda na kuzipokea.
👑 Usikose somo hili lenye kutia moyo na kukuza imani yako, likikupa hamasa ya kuishi maisha ya ushindi na kutazamia tuzo zako za milele.
✅ Tazama hadi mwisho na usisahau kusubscribe, kushare, na ku-like!
🎯 AINA SITA (6) ZA TAJI KATIKA BIBLIA | Askofu Dr. Fredrick Simon
#Taji #MafundishoYaBiblia #AskofuFredrickSimon #Ushindi #Imani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: