Jinsi ya kukaanga Korosho na kuzipeki kwenye vifungashio
Автор: Sambaza Ufahamu Online Tv
Загружено: 2023-04-01
Просмотров: 2437
Описание:
Mapema kikundi cha uchakataji korosho waliwasiliana na ofisini zetu za sambaza ufahamu Tanzania kujumuika nao huko kwenye maskani yao iliyopo mtaa wa Manispaa Lindi Mjini.
Kwani ilikuwa ni siku ambayo wanaanza kuzikaanga korosho na kuzipeki kwenye vifungashio.
Video hii inaonyesha namna ambavyo video hiyo utaratibu wanaoutumia kuzipika hadi kuzikausha na kwenda kuziweka kwenye vifungashio.
#AkiliKubwa
#durusuzahistoria
Manispaa ya Lindi
Mustafa Pirmohamed
#lindi_ni_yetu_sote_tuijenge
#sambazaufahamutanzania
#sambazaufahamuonlinetv
Sambaza Ufahamu, Tanzania
Abdulrasul Muhibu Elhaji.
_Mchambuzi masuala ya jamii kazi za sanaa na mhifadhi wa utamaduni wa kiafrika.
Lindi,Tanzania.
+255710103273
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: