SIMON SHUKURU

Karibu kwenye channel ya SIMON SHUKURU.

Hapa utapata video za sherehe za kijijini, maisha ya kila siku, utamaduni na matukio mbalimbali ya jamii.
Pia tunatarajia kuanza kupakia nyimbo za Gospel hivi karibuni kwa ajili ya kuburudisha na kuinua roho.


Subscribe sasa, Like na Share ili kuunga mkono kazi yetu na usikose video mpya.