Afromusicon

Black Films Production ni kampuni ya kizalendo inayojikita katika kutengeneza filamu zenye maudhui ya Kiafrika, maisha ya watu weusi, na simulizi halisi kutoka kwa jamii ambazo hazipewi kipaumbele katika vyombo vya habari. Tunatumia filamu kama jukwaa la kutoa sauti, kuelimisha, na kuhamasisha mabadiliko chanya kupitia sanaa ya picha.
Kwa kutumia vipaji vya ndani na teknolojia ya kisasa, tunalenga kupeleka hadithi zetu ndani ya Afrika na ulimwenguni kote